Picha ya Siku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya Siku

Discussion in 'Jamii Photos' started by Chimunguru, Aug 24, 2011.

1. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#1
Aug 24, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
View attachment Jairo.bmp

Kwa Nyuma kuna flat screen inamuonesha Job Ndugai kasimama bungeni. nadhani wakati anaruhusu mjadala wa kumhusu Jairo

2. Preta

Preta JF-Expert Member

#2
Aug 24, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,035
Trophy Points: 280
sijui ni PC yangu....lakini hiyo picha haiko clear...........

3. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#3
Aug 24, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,184
Likes Received: 567
Trophy Points: 280
Preta haiko clear
ila kule Jukwa la Stress (Siasa) iko clear sana

4. Yo Yo

Yo Yo JF-Expert Member

#4
Aug 24, 2011
Joined: May 31, 2008
Messages: 11,247
Likes Received: 73
Trophy Points: 0
[​IMG]

Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno

5. africa6666

africa6666 JF-Expert Member

#5
Aug 24, 2011
Joined: Aug 18, 2008
Messages: 281
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Wanasukuma gari wakati dereva kakanyaga breki, Kweli miafrika ndivyo ilivyo

6. Chakaza

Chakaza JF-Expert Member

#6
Aug 24, 2011
Joined: Mar 10, 2007
Messages: 23,651
Likes Received: 21,866
Trophy Points: 280
Mkuu nami nimeigundua hiyo, kweli ujinga sio ugonjwa uambukizwe bali unazaliwa nao.

7. Preta

Preta JF-Expert Member

#7
Aug 24, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,035
Trophy Points: 280
kule siendi....hali yangu kisaikolojia sio nzuri sana.......

8. M

Marcossy A.M Verified User

#8
Aug 24, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 59
Likes Received: 7
Trophy Points: 15
‎"Think kiasi gani tumepoteza kama taifa, Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi!
TICTS, RADAR,NDEGE YA RAIS, SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE, TWIN TOWERS BOT, MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini), KAGODA(EPA), MEREMETA, RICHMOND/DOWANS, WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM), IPTL, NA MINGINE MINGI...
TUAMBIANE KUWA... SIKU TULIZOSUBIRI, KUVUMILIA, KU...TESEKA NA HATA KUDHARAULIWA KWA AIBU ZIMEKWISHA: NAPENDEKEZA
JUMATATU HII 29 AUGUSTI 2011 ITAKUWA SIKU TAKATIFU KWETU SOTE KUONESHA UZALENDO WETU KUITETEA NA KUITUKUZA NCHI YETU KWA KUONESHA KWA VITENDO KUCHUKIZWA KWETU NA MAOVU YOTE TULIYOSHUHUDIA KWA ZAIDI YA MIAKA 30 SASA! NJOONI KILA MMOJA KWA BARABARA YAKE KWA AMANI NA UMOJA WETU TUELEKEE MNAZI MMOJA. WALIOKO MIKOANI WAELEKEE OFISI ZA SERIKALI MIKOANI, NA WILAYANI KWAO.Amini katika Mungu! Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.

9. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#9
Aug 24, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,507
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
hawa ndo walikua wanamsukuma jairo? huyo mama kushoto hapo angeambiwa asukume gari ya mumewe imezimika angejidai hawezi! WOMEN! MPHHHHH...

10. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#10
Aug 24, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,970
Likes Received: 2,965
Trophy Points: 280

umesahau zfuatazo
1. Posho za vkao (siting allowance)
2. Safar za mkuu wa kaya.
3. Uttr wa viongoz wa serkal. Nk

11. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#11
Aug 24, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,970
Likes Received: 2,965
Trophy Points: 280
Ningekuwa na uwezo nngewalpua wote wafie hapohapo.
Nisngependa hata unyayo wao uonekane, wanankera kwel. Wapumbavu wakubwa.

12. Mwanamayu

Mwanamayu JF-Expert Member

#12
Aug 24, 2011
Joined: May 7, 2010
Messages: 7,939
Likes Received: 2,088
Trophy Points: 280
Kale kataa ka juu kwenye mlango wa nyuma kakiwaka si huwa gari imefunga brake au inafunga brake? Sasa hawa jamaa si wanaumia kusukuma gari inayosimama? Au ndio wameifikisha lakini wanaonekana bado kutafuna energy yao!!!!!!!!!

13. Memo

Memo JF-Expert Member

#13
Aug 24, 2011
Joined: Jan 17, 2011
Messages: 2,147
Likes Received: 17
Trophy Points: 135
Nimeipenda sana hii!!!

14. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#14
Aug 24, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160

mkuu hapo maanake bunge haliendi lakini wanalazimisha tu liende ndo pale inatokea bora liende na kukonga meza hiyo imepita mala naunga mkono hoja 100%..

15. D

Domo Zege JF-Expert Member

#15
Aug 24, 2011
Joined: Sep 18, 2010
Messages: 687
Likes Received: 38
Trophy Points: 45
Hii wizara ina matatizo inabidi ifumuliwe yote, wafanyakazi wote wahamishwe walete watumishi wenye tija

16. Prof Gamba

Prof Gamba JF-Expert Member

#16
Aug 24, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 390
Likes Received: 114
Trophy Points: 60
Walivyokuwa wanasukuma gari ilikuwa inaenda kwa kasi sana mpaka ikahitaji kupunguza kasi kwa break, mitanzania ndivyo tulivyo, ndio maana hao jamaa masaburi yao yanaonekana hapo wakiashiria kufikiria kwa kuyatumia.

17. Kibukuasili

Kibukuasili JF-Expert Member

#17
Aug 24, 2011
Joined: May 15, 2010
Messages: 858
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
You can take an african out of the bush but not the bush out of her

18. mluga

mluga JF-Expert Member

#18
Aug 24, 2011
Joined: Oct 8, 2010
Messages: 678
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Majina ya hawa jamaa hatuwezi kuyapata kwa ajili ya kumbu kumbu ha ha ha ha

19. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#19
Aug 24, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Kwa hali hii ya huyu jairo hakika 2015 ni ndoto ya alinacha kutoboa. Tuombe uzima tuona. Na hata ile ziara Washngton Dc kwa yule PAPA wao imestishwa kwa tetesi nilizonazo. Shenzi kabisaaa!!

20. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#20
Aug 24, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
bora umaskini wa hela kuliko wa akili.....................

Loading...