ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,007
Ha ha nakaribia kupata jembe languAmevaa shati la le mutuz
Ha ha nakaribia kupata jembe languAmevaa shati la le mutuz
Uko sawa kabisa hizo rubber nimeziona mnadani kwa bei hiyohiyo.Simpe raba za buku saba tu lakin kanoga kinona
Hivi Hapa bongo kuna msichana anaweza kumzidi huyu binti kweli kwa mvuto kweli.....????[/QUOTE bibi yangu tu kamzidi😀
Bibi yangu tu kamzidi😀Hivi Hapa bongo kuna msichana anaweza kumzidi huyu binti kweli kwa mvuto kweli.....????
Aache kujifariji...yeye aendelee kula kwa macho......!Ngoja Deogratius Kisandu aje, alisema yeye ndiyo anapaswa kumuoa huyu binti.
Ilinibidi nizoom aiseeKUMBE na matajiri wana makovu?
Uliza sasa bei ya hako kashati na hivyo virabaView attachment 495411
Malia Obama
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawana mkwanja wa kununulia majuba.
Ya kitajiriKUMBE na matajiri wana makovu?
Amekosa pesa ya kununulia sketi. Chezea Trump, uchumi umegomaMbona kavaa shat tu
inamaana hujaona kuwa kavaa na chupi pia?Mbona kavaa shat tu
Cc; Deogratius KisanduView attachment 495411
Malia Obama