pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,087
Tajiri wa roho jana la baba kuna mijitu inajifanya miungu watu leo hii
Ccm inawanyima wananchi elimu hata ya kusoma na kuandika!Usishangae ndugu yangu, hao ndio wazalendo wanaoshinda humu wakitetea kila upuuzi unaofanywa na awamu hii...hawajui hata wako wapi, wanafanya nini na wanaelekea wapi, ni vipofu ingawa macho wanayo.
Anaweza akawa ameutua, ishu ni kuwa umeutuwa sehemu Salama, kuna faida gani umebeba mzigo muda mrefu halafu unautua kwenye moto
Renowned looters are found in a disintegrated country in the pretext of devolution. You should pity yourself.Successfully leading the country or county? Is looting,torturing,embezzlement and causing social strife ( preventing opponents from attending burial funerals) a success? Poor tzs!
Sent from my Mate7 using JamiiForums mobile app
haha jamaniMkewe yupo Dodoma hapo yupo Instagram kwa Mange Kimambi
mnalalamika utakuta unakaa chumba kimoja kwa mtogole acheni unaaKweli nami nlitaka niseme hilo la nyumba kubanana, uzuri wa nyumba space! Ila hilo la gape la mama salma nimecheka saanaa.....ictoshe alimuombea kwa sizonje ili yy abaki free!
Namtakia mapumziko memaView attachment 503415
Mheshimiwa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mzee Kikwete akiwa amepumzika nyumbani kwake.
yuko kimataifa zaid nenda kule twitter utamuonaAisee Anatia huruma wangempa na yeye angalao kaubunge kakuteuliwa ili awe Karibu na mama salma
Aisee Anatia huruma wangempa na yeye angalao kaubunge kakuteuliwa ili awe Karibu na mama salma
Mzee wa Mjini huyo si unajua Mange anapenda kuacha nyonyo nusu wazi mzee wa msoga anapenda hizo mamboha
haha jamani
Mzee wa Mjini huyo si unajua Mange anapenda kuacha nyonyo nusu wazi mzee wa msoga anapenda hizo mambo
View attachment 503415
Mheshimiwa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mzee Kikwete akiwa amepumzika nyumbani kwake.
hujapatia kbs, watu tunaishi maeneo ya kuishi co maeneo ya biashara...mnalalamika utakuta unakaa chumba kimoja kwa mtogole acheni unaa
tehetehe unajipa moyo tu wengi wa humu jf huwa mnaropoka lakini kiuhalisia maisha ya wengi ni duni keyboard zinatufichia mengihujapatia kbs, watu tunaishi maeneo ya kuishi co maeneo ya biashara...