Picha ya Siku ya Mrisho Kikwete

Picha ya Siku ya Mrisho Kikwete

Ndio uongozi mzuri unatakiwa.ili ubaki huru ktk maisha . na heshima kwa ujumla
 
Ametengeneza matajiri sehemu za mjini n kufanya sehemu za vijijini kuwa na masikini wengi sana
 
Yupo zake busy anafatilia hotuba ya Sizonje mei mosi.
 
Rais wa moyo wangu. Nilipenda hutuba zake na tabasamu lake la bashasha.
 
Hakuwa mdini wala mkabila,alikuwa na ushawishi hata kimataifa alipigwa mawe mbeya lakini hakuteka watu alikuwa mfuasi mkubwa wa faiza foxy humu jukwaani.sitamsahau alipomwambia waziri fulani "atupishe".
 
Back
Top Bottom