Picha ya Siku ya Mrisho Kikwete

Picha ya Siku ya Mrisho Kikwete

Mi nimeelewa kuwa anawaangalia tu mnavyomlilia ktk mitandao.
 
Kikwete anaonekana ni mtu flani mshkaji sana na natamani siku moja Mungu akijalia nipate hata nafasi ya kula nae mboyoyo mbili tatu.

Ila kuna watu ukiambiwa tu unaonana nao, kabla hujajua atakuambia nini yani utakua ni kama unasogelea EXIT ya duniani. (Sizonje) anatisha sana huyu baba.
 
Kwa uongozi tulio nao huyu mheshimiwa atazidi sana kupendwa na Watanzania, ngoja niishie hapo, nisitafute makuu.
 
Hata awamu hii tumetengeza mabilionea bana,
tunae bilionea Bashite anamiliki magari ya kifahari,majumba,bongo,newyork na sozafrica
 
Baada ya kupata mwendesha roli lisilo na break.. nmekuja kugundua Jk alikuwa rais bora wa mda wote na natamani haya maisha tunayoish sasa yawe ni ndoto.
 
Maskini ya mungu washkaji washampotezea hapo anaiangalia simu kwa huruma maana haipo busy tena
Sasa wewe na Jk nani wa kuhurumiwa?

Unafikiri na stress kama ninyi huko mitaani!
 
Mtu poa mimi huwa namuita zungu la roho mana roho yake nyeupe sana
 
Back
Top Bottom