Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
huyo tenaKinachoendelea Afrika kusini baada ya kuwepo kwa:
1.Kwa uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.
2.Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana.
3.Ukosefu wa ajiri uliopitiliza.
4.Watu kuwa na chuki pamoja na vinyongo moyoni pasipo kujua hata adui yao ni nani.
5.Mgawanyo usio sahihi wa keki ya Taifa.Wachache ndiyo wanaofaidi cake hiyo.
6.Kukosekana kwa utawala wa sheria wa walio wengi,yaani sheria zimetungwa na wahuni wachache kwa manufaa yao.
7.Watu kuwa na matatizo ya akili yaliyochangiwa na umasikini wa kutupwa.
8.Taifa kuwa na watu wengi ambao hawana cha kupoteza kwa hiyo wapo tayari kwa lolote.
9.Watu kujua ukweli kuwa wananyonywa na system za uongozi pamoja na system za kugawa utajiri
10.Dalili za awali za failure state.
View attachment 1851524
Duh jamaa wamebeba kitimoto kabisaKinachoendelea Afrika kusini baada ya kuwepo kwa:
1.Kwa uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.
2.Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana.
3.Ukosefu wa ajiri uliopitiliza.
4.Watu kuwa na chuki pamoja na vinyongo moyoni pasipo kujua hata adui yao ni nani.
5.Mgawanyo usio sahihi wa keki ya Taifa.Wachache ndiyo wanaofaidi cake hiyo.
6.Kukosekana kwa utawala wa sheria wa walio wengi,yaani sheria zimetungwa na wahuni wachache kwa manufaa yao.
7.Watu kuwa na matatizo ya akili yaliyochangiwa na umasikini wa kutupwa.
8.Taifa kuwa na watu wengi ambao hawana cha kupoteza kwa hiyo wapo tayari kwa lolote.
9.Watu kujua ukweli kuwa wananyonywa na system za uongozi pamoja na system za kugawa utajiri
10.Dalili za awali za failure state.
View attachment 1851524
Adui yao anafahamika. Ni makaburu.point number 4 hapo ndiyo yenyewe kabisa.
makaburu ndiyo wanawafanya wanashindwa kujitafutia maisha bora??Adui yao anafahamika. Ni makaburu.
Too bad, hawana uwezo hata wa kuwagusa.
Hasira zote huwa wanamalizia kwa wahamiaji.
Wao wanaamini maisha yao yamevurugwa na makaburu.makaburu ndiyo wanawafanya wanashindwa kujitafutia maisha bora??
wataendelea kuwa watumwa wa historia mpaka lini?
watu wa SA ni wapuuzi na wavivu mnoo, na mbaya zaidi wanarithisha watoto wao upuuzi.Wao wanaamini maisha yao yamevurugwa na makaburu.
Na kwakuwa hawana uwezo wa kuwafanya chochote sasahivi wanaamini mchawi wao mkubwa ni wahamiaji wanaoingia nchini kwao.
ndiyo ujiulize kuna uhusiano gani baina ya kuiba kitimoto na kukamatwa Zuma.Duh jamaa wamebeba kitimoto kabisa
Nguruwe inapelekwa msikitini ikasilim au mbona hata sielewi
wako na stress zao nyingine hawa sio bure, kitimoto nae katulia tulindiyo ujiulize kuna uhusiano gani baina ya kitimoto na kukamatwa Zuma.
Unachokitafuta utakipata.Nguruwe inapelekwa msikitini ikasilim au mbona hata sielewi
Tatizo limeanza na Jacob Zuma kutotii amri halali ya mahakama huku akijua mahakama ina uwezo wa kumchukulia hatua !!.Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa:
1.Kwa uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.
2.Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri na masikini kuwa kubwa sana.
3.Ukosefu wa ajiri uliopitiliza.
4.Watu kuwa na chuki pamoja na vinyongo moyoni pasipo kujua hata adui yao ni nani.
5.Mgawanyo usio sahihi wa keki ya Taifa.Wachache ndiyo wanaofaidi cake hiyo.
6.Kukosekana kwa utawala wa sheria wa walio wengi,yaani sheria zimetungwa na wahuni wachache kwa manufaa yao.
7.Watu kuwa na matatizo ya akili yaliyochangiwa na umasikini wa kutupwa.
8.Taifa kuwa na watu wengi ambao hawana cha kupoteza kwa hiyo wapo tayari kwa lolote.
9.Watu kujua ukweli kuwa wananyonywa na system za uongozi pamoja na system za kugawa utajiri
10.Dalili za awali za failure state.
View attachment 1851524
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka.Tatizo limeanza na Jacob Zuma kutotii amri halali ya mahakama huku akijua mahakama ina uwezo wa kumchukulia hatua !!.
Viongozi wa ki Africa shida sana.
Angalia yanayotokea Haiti ulinganishe na jirani zao wote . Ndiyo utajua mtu mweusi ni hovyo.Mtu mweusi ni Kima aliechangamka.