Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Hamjambo wadau wa JF.
Huyo mwenye magongo ni Nani?
Mkapa mrefu hivyoUmeniwahi swali ila kwa haraka haraka unaweza sema mkapa
anakuaMkapa mrefu hivyo
anakua
Saa hivi kakonda ni mrefuMkapa mrefu hivyo
Umeniwahi swali ila kwa haraka haraka unaweza sema mkapa
Mwenye magongo alikosa kiti akapewa kifungua mimba?Hamjambo wadau wa JF.View attachment 1246118
Gwakisa Mwakabeta. Nafikiri alikuwa bohari kuu. Sijui kwa sasa yuko ofisi gani? Vile vile nafikiri ni mwenyekiti wa walemavu TzHuyo mwenye magongo ni Nani?
Badala akae nyumbani autulize mguu kuutwa kutaka picha ya pamojaHuyo mwenye magongo ni Nani?
Ni MusibaHuyo mwenye magongo ni Nani?
[emoji1787][emoji1787] Bora ulivyoandika neno haraka..nilikua najiuliza huo urefu kautoa wapiUmeniwahi swali ila kwa haraka haraka unaweza sema mkapa
[emoji23][emoji14]anakua