Picha ya Masoud Kipanya inasema nini?

Picha ya Masoud Kipanya inasema nini?

c505e9bf4890e0941485860087b0c561.jpg


Mwananchi gazeti
23.01.2017
Heri yangu mimi sijasema japo nawaza tu hivyo
 
Ukifanya madudu ujue huna ajira na sahau kuwa mwajiliwa wa sehemu hii,

√ hatuwezi kukuhamisha uende kuharibu na hukoo

[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Hakumaanisha alikuwa anatania tu.... Si unajua anapendaga UTANI yule [emoji33][emoji33][emoji33]
 
"ni mchochezi na lazima ahojiwe"!
Nya usu Watz tungelikwa walau na robo ya akili aliyonayo KP nchi hii ingepiga hatua kubwa tena kwa haraka sana.
 
Back
Top Bottom