binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,170
- 34,637
Waziwazi alikuwa team hii, baada ya Magu kuteuliwa akajipenyeza hadi kufika kwenye uwaziri.Kaandaliwa na Rostam kitambo.. kuanzia kwenye gazetini, kaiva
Hiyo ni siku ya uzinduzi wa dira 2050Hiyo picha umeitoa wapi ?
Lilikuwa tukio linalohusu nini ?
Ipo hivi mkuu, hakuna mtu anayejua kila kitu ila pia uelewe Kuna watu wanajua isipokuwa wanataka kufahamu kama unajua.Comment yako imenishtua, hii Ni picha rasmi kabisa ya mbowe na Samia siku ya dira 2050. Kwa nn umehisi ya kutengenezwa? Umenishtua kutojua jambo kama hili mtu Kama wewe ambae ni mfuatiliaji wa siasa
Ikulu wenyewe ndio waliiweka, hata hivyo tukio lilikua live kote
View attachment 3461199
Chini nakuwekea na link ya ikulu usije sema nami nimetengeneza
View: https://www.instagram.com/p/DMNjHOCtzwE/?img_index=5&igsh=Zm1semhzb3lrYWtk
System inataka Samia amalize miaka mitano, kila mbinu inatumika katika kumrahisishia michakato yote ya uchaguzi mkuu.Kwani watu si wanatakiwa wafanye nini kuhusu kesi ya Lissu... Wewe kuhusu kukamatwa kwa Lissu mtizamo wako upoje?
Ee bwana we!!!Namuona mmiliki wa serikali
Palitokea sintofahamu mle ndani....kuna mzee mmoja kati ya waanzilishi wa Habari Corp ambaye baadae alikuja kuwa na cheo cha Msigwa enzi za JK, yule mzee ni sehemu ya mtandao...ile sintofahamu ndiyo hatimaye kampuni ikauzwa na RA ambaye awali alikuwa na shares Mwananchi, akaenda kuinunua na Bashe akafanywa CEO....It's all connected....!Sasa huyo so konda wao, wamemlea mwenyewe pale Habari Cooperations chini ya Rostam, labda Mzee Ulimwengu atuambie ilikuwake akaliuza gazeti pendwa la RAI Kwa Rostam
One mistake one goal, ndio kilicho mponza mjomba MaguWaziwazi alikuwa team hii, baada ya Magu kuteuliwa akajipenyeza hadi kufika kwenye uwaziri.
Binafsi nilifikiri Magu analijua hili na angemweka mbali…
NaLissu hakua kampeni meneja wa Lowassa, sababu pia alikua mgombea ubunge. Pia tu hajawahi kuwa kampeni meneja wa mgombea yoyote wa uraisi.
Kampeni meneja wa Lowassa alikua Hemed Alli
SAsa hiyo ya kusimama mgongoni, nyinyi mliitoa wapi ?Wakuu hii ni picha rasmi na tukio lilikua live. Hata hivyo ikulu pia waliiweka kwenye taarifa zao
View attachment 3461211
Link
View: https://www.instagram.com/p/DMNjHOCtzwE/?img_index=5&igsh=Zm1semhzb3lrYWtk
"Paulo na Sila waliomba, milango ya gereza ikafunguka".Kwani watu si wanatakiwa wafanye nini kuhusu kesi ya Lissu... Wewe kuhusu kukamatwa kwa Lissu mtizamo wako upoje?
Kwa kuongezea, Bashe alikua ni mwana mtandao mzuri... Kumbuka siku Lowassa alivyokatwa jina kwenye urais, Yeye( Bashe), Nchimbi etc. Walitoka nje kupinga hayo maamuzi. Sio kila kitu ni cha kufundishwa darasani.Bashe alikuwa mfanyakazi wa Rostam pale Habari house Sinza 😄😄
Mkuu kwa nini unaruhusu kutotumia akili? Hiyo ni picha mnato, nimeweka picha moja tu, zipo picha nyingi ikiwemo kuwa nyuma ya Samia.SAsa hiyo ya kusimama mgongoni, nyinyi mliitoa wapi ?
Nipo kwenye makelele, nitaangalia baadae mkuuMkuu kwa nini unaruhusu kutotumia akili? Hiyo ni picha mnato, nimeweka picha moja tu, zipo picha nyingi ikiwemo kuwa nyuma ya Samia.
Ngoja nikuwekee video kabisa ya hiyo siku, ni dakika chache angalia ilivyokua
View: https://youtu.be/foTLK2pokL4?si=vCAKIJ-u71oR2y5R
Ushauri wangu tutumie vizuri akili tulizonazoNipo kwenye makelele, nitaangalia baadae mkuu
Nimeitoa kwenye gazeti la CCM; Uhuru.Hiyo picha umeitoa wapi ?
Lilikuwa tukio linalohusu nini ?
Hii nayo Kali!!!Nimeitoa kwenye gazeti la CCM; Uhuru.
Ilikuwa ni kwenye tukio la kufyatua matofali ya kuongezea urefu wa Mlima Kilimanjaro.
Mtu anayeuliza maswali, huku akivunga hajui picha hiyo imetokea wapi na ilipigwa kwenye tukio gani, unamjibuje?Hii nayo Kali!!!
HAta mimi nimeionaNimeitoa kwenye gazeti la CCM; Uhuru.
Ilikuwa ni kwenye tukio la kufyatua matofali ya kuongezea urefu wa Mlima Kilimanjaro.
pamoja kkaUshauri wangu tutumie vizuri akili tulizonazo