Picha ya Magufuli na mkewe enzi za ujana wao

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,971
35,113
magufuli na mwai.jpg
 
Fundisho kwa wanawake/mademu.

Usimdharau mwanaume kwa jinsi ulivyomkuta leo kwamba ni masikini.Huwezi jua baadae atakua nani.

Hata Obama na mkewe walianza zamani,kipindi ambacha mkewa hakua na ndoto ya mmewe atakua rais wa dunia.
swadakta
 
Naam! Mnakuwa mnanyang'anyana hewa.

Nahisi kuna mapungufu mahali katika hilo ingawa kweli walimu wetu walitufundisha hivyo.

Literature zingine zinasema kuna jamii ya mimea (flower) ambazo husafisha hewa ndani ya nyumba na kuweka hewa safi mfano sanseveria (snake plant) ,aloe vera, na mengineyo.

Source zingine zinasema indoor flower zinazalisha CO2 ndogo kuliko ile inayotolewa na binadamu au pet animal. Kwa hivyo ni hatari zaidi kulala na mwenzio chumba kimoja kuliko hata hizo indoor plants.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom