Picha ya leo

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,676

Thai-Burma Railway, Kanchanaburi, Thailand
 
Hapo mkipitavwatu wote kimya... yaani mnatulia hata kope utikisi...
 
Nikipanda humo nitafumba macho mpaka tuvuke hilo eneo
Sasa picha za hapo tutazipata vipi ikiwa mpiga picha tunaekutegemea unataka kuleta uoga.

Mimi naona bora ukifika hapo usiangalie dirishani ikiwezekana chuchumaa huku unamuuliza alie karibu yako "tushavuka?" akikuambia tayari ndio uibuke
 
Hahahahaaaa sawa bana na hii technique nimeipenda
 
reli ya tazara ina sehemu hatari zaidi ya hizo
 
Kwa treni hamna shida...kama ni mabasi hapo lazima kila mtu awe na kiroho juu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…