Picha ya leo

Duh hapa safari mbichi kabisa maana sioni dalili ya uwepo wa kijiji karibu na hapo
 
Mwanamke akuendesha baiskeli haina athari yeyote?
 
Naona pembeni kuna vinyanya vitunguu na mchicha anawahi kupiga cha mchana
 
Kabeba mahitaji, mtoto na anaendelea na safari, aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…