Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
View attachment 94091
Hiki chama kimebaki kwenye kanga tu
Lakini wajue hawatakuwa salama labda wayapitishie angani hayo mambomba ya gas...Mikataba waliosaini ya gesi na wachina ina vipengele vya kuwaletea khanga ,fulana na kofia za uchaguzi 2015; ndio maana piga ua gesi lazima itoke Mtwara!!!
hapo walikuwa wakiomboleza baada ya mtu mzima kubinuka....
Nimegundua kwamba wengi wetu tumekosa mwelekeo. Gesi inatoka Urusi hadi China inapita nchi kibao kwenda Ulaya hatuongei, tunaongelea kanga na Magwanda.
View attachment 94091Hiki chama kimebaki kwenye kanga tu
Ilikuwa baada ya mzee wa siasa za udini kuanguka pale jangwani walijua ndiyo kwa heri mwalimu kumbe sheikh Yahaya yupo....
Nimegundua kwamba wengi wetu tumekosa mwelekeo. Gesi inatoka Urusi hadi China inapita nchi kibao kwenda Ulaya hatuongei, tunaongelea kanga na Magwanda.