PICHA YA LEO: UKUTA

PICHA YA LEO: UKUTA

ZING SOKONI

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,512
Reaction score
57,115
images.jpg
wa456.jpg
images (1).jpg
 
Poleni sana. Inaonekana mlitamani sana umwagaji as dhamu za watanzania? Mambo mengi hayaondoki pasipo kuomba na kufungua. Watu wa Mungu wameomba sana Juu ya jambo hili
Hakuna watu ambao wanatamani kuona damu inamwagika kama wanasiasa.

Sisi wananchi tunapelekwa tu bila kujua.
 
Vigezo na masharti havikuzingatiwa hapo ktk ujengaji.
Sasa itabidi waujenge upya.
Wazingatie sana ratio ya cement na mchanga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakina watu ambao wanatamani kuona damu inamwagika kama wanasiasa.

Sisi wananchi tunapelekwa tu bila kujua.
Nikuweke sawa kidogo. Wanasiasa wanachotamani ni kushibisha matumbo yao so hapo ndio hutaka lolote litokee ikiwemo umwagaji wa damu ili shibe iende kwao.
 
Hebu muacheni Mbowe jamani, muda huu anashughulika na NHC wanamdai mabilioni ya shilingi na hali yeye hajisikii kulipa😀
 
Back
Top Bottom