Labda niwataalamu wa kupiga chabo, kwahiyo mwalim kaamua kuwakomesha..lakini kuna usawa fulani kwani hata yeye mwalim yupo hapo hapo. Ingawa kuna hali ya jua lakini tempereture inaonekana kama 18 degrees celcius..
mkuu nngu007 madarasani kuna baridi hapo sio dar....but anyway I get your point, in any case, hawapaswi kukaa nje tena kwenye uwanja wa mpira, hiyo sio educational hata kidogo..we need to be serious in serious business like providing proper education..Angalia kiti cha Mwalimu kina kivuli kwahiyo kuna JUA la kumsumbua mtu... wanadamu wa Tanzania sio MAWE
That can't be real!
Angalia kiti cha Mwalimu kina kivuli kwahiyo kuna JUA la kumsumbua mtu... wanadamu wa Tanzania sio MAWE
Labda wazazi wao wangeulizwa walichagua nani na chama gani wakati wa Uchaguzi Mkuu 2010?
We umenena, pia inawezekana wanajifunza kwa vitendo. Muonekano wa watoto na walimu hauonyeshi kama shule ni chokambaya
Tazama hiyo picha vizuri. Kwa mandhari iliyopo co ya kukosa madawati.
Read between the lines guys! Hao watoto hawaonekani kama ni wa shule zile zenye shida, ni utaratibu tu. Shule zile zilizo hoi, hazina viwanja vya michezo vyenye magoli ya chuma na walimu wasafi hivyo
CCM oyeeeeeeeeeeeh.....tumuthubutu.....tumejaribu....tmeweza. Elimu saaaafi, barabara saaaaaafiiiii?...... Mwenge oyeeeeeeeeeeeeh. Sawasawa kabisa...tunaishia hapa kwaleo....tunenda mkoa mwingine wa hapo jirani, kwahiyo ni hayo machache tuu kwaleo CCM hoyeeeeeeeh!;;;;;;;;;;;;;;;;;;;sheeeeeeeeet Country!