Picha ya leo: Mastaa wawili nani hao?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
Pau-Gasol-once-again-far-from-the-flow-of-the-game.-Getty-Images.jpg

Nani hao wawili wanaojitokeza zaidi katika picha hii? Jamaa alifanya kusudu paparaz wamanatishe na huyu anajikimbia mkataba wake Galax?
 
Pau Gasol...sio Paul!
Asante mkuu...ni mambo ya apple gadgets na spelling corrections. Ukiandika Pau ..inamalizia Paul..na haraka haraka Unakuta umepost bila kudouble check.
 
Asante mkuu...ni mambo ya apple gadgets na spelling corrections. Ukiandika Pau ..inamalizia Paul..na haraka haraka Unakuta umepost bila kudouble check.
Kwani huyo pau or Paul unajua spelling za majina yenu? Kazi kweli kweli!
 
Kwani huyo pau or Paul unajua spelling za majina yenu? Kazi kweli kweli!
Muda mwingine ni vizuri ukapitiliza kukojoa ..vaa pampaz upande kitandani kulala. usirukie Mkuki kwa mbele utakutoboa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom