Picha ya leo, Mabonge wakila ugali

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
Hii ni njaa au ujeda?
20160419054453.jpg
 
Sio kweli, hakuna mjaluo mfupi kihivyo na pia mweupe. Hao ni wapare kwa mshana jr. Nimewaapiza wanangu, asijeoa mwanamke mnene, chakula akileta sahani jua robo tatu kamalizia jikoni kwa kuonjaonja chumvi tu.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbona hii ni kali sasa
 
HATARI SANA. KAMA HUYU AKIRUKA KICHURA NA NNYA INATOKA KABISA.
 
Sio kweli, hakuna mjaluo mfupi kihivyo na pia mweupe. Hao ni wapare kwa mshana jr. Nimewaapiza wanangu, asijeoa mwanamke mnene, chakula akileta sahani jua robo tatu kamalizia jikoni kwa kuonjaonja chumvi tu.
Kwani wanawake wanene wanakula sana?
 
Sio kweli, hakuna mjaluo mfupi kihivyo na pia mweupe. Hao ni wapare kwa mshana jr. Nimewaapiza wanangu, asijeoa mwanamke mnene, chakula akileta sahani jua robo tatu kamalizia jikoni kwa kuonjaonja chumvi tu.
Hapana wapare sio futufutu namna hiyo.
 
Hapana wapare sio futufutu namna hiyo.

mainus;
Umewajua wapare gani weye?? Siku hizi hakuna tena mpare anayekula samaki kwa kunusa. Huo mlo hapo ndo wa kwao kabisa. Kwetu kuna kausemi; Usimwamshe aliye lala. Mpare kaamka bwanaa, we acha tu. Vitambi ni vyao, mlo mkubwa ni wao, biashara ni yao yaani usiombe. Leo hawa ndo wapemba wetu
 
Farha;
Kila kiungo hapo kinahitaji kulishwa. Mdomo hauruhusiwi kukauka, ndivyo walivyo, wanajikuta wakiwazia tumbo lao tu. So sory kama weye ni mmoja wao
Hapana mm wa kawaida tu...lkn kuna mtu ninaemfahamu mm ni mwembamba ila nae kwa Kula mashaallah... pia kuna usemi kwamba watu wenye matumbo madogo kwa kula hawawezekani
 
Hapana mm wa kawaida tu...lkn kuna mtu ninaemfahamu mm ni mwembamba ila nae kwa Kula mashaallah... pia kuna usemi kwamba watu wenye matumbo madogo kwa kula hawawezekani

Farha;
Ni kinyume cha unavyoelewa. Sikatai kuwa kuna wenye matumbo madogo ambao ni mabingwa wa kula. Hao wana kitu tunaita "Pepo la njaa" Hilo limeweka mwanandani tumboni mwake.
Unavyokula ndivyo mwili hufutuka, ukiona tofauti jua kuna kasoro kubwa.
 
Hatari kwa kweli..pepo la njaa...kumbe kuna mapepo ya aina nyingi
 
Mhhh!, familia hii SIOLEWI. Sitaki.

share;
Unaingia tu mlangoni mtihani wa kwanza ni kuusonga na matishio tele, Hakikisha umewiva tena uwe mgumu ka wakijaluo, na hakikisha watu wameshiba na, naaa, naaaa yaani mpaka unachanganyikiwa. Sufuria utadhani ya kijiji wala sio familia. Mikwara kibao, eee pika chakula kingi hata pakija wageni wasikose chakula. Kumbe wanataka wale washibe. Mara nyingi huwa wanapenda kuuweka mahali pamoja usijue nani kamega zaidi. We acha tuu, usione watu wamenenepeana wanajua kuficha vitu stoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom