Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
- Thread starter
- #21
Hayo makaratasi feki!!
Ha ha haaaaa!!! Haya mkuu.
Hayo makaratasi feki!!
nikipata hela kama hiyo mtoto wa kwao nawarudishia
Msapoti tu japo umjaze kichwa hata kama anaota kweupe.
YM , Hiyo mihela uliishia matumbuzi only ? Au kuna la maana ulilolifanya?
Rudisheni pesa za malima nyinyi.
Za monopoliHayo makaratasi feki!!
YM , Hiyo mihela uliishia matumbuzi only ? Au kuna la maana ulilolifanya?
Rudisheni pesa za malima nyinyi.
Keep on dreaming YM.
mh, aya bna....!
inaonyesha unanunua kwa bei kubwa sana mkuu,
au ni feki.
Kalagabaho