Tofauti na nyinyi wenzangu, mimi nimejawa na huruma maana namwona huyu kama ni mtuhumiwa asiyejiweza anasaidiwa na askari akiwa ameshika faili la kesi kutoka chumba cha mahakama. Bila shaka hawezi kutembea mwenyewe pengine huenda kwa sababu ya kipigo. Nitajisikia vibaya zaidi kama mahakama haitamkuta na hatia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.