PICHA YA KUFUNGA MWAKA NINA WAULIZA SWALI WATU WENGI MUTAFELI HUMU JUKWAANI. CHACHA HUYU NI BIBI AU BABU?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,320
33,125
Swali langu la kufunga Mwaka 2018 Wengi watafeli kulijibu swali langu . Chacha Huyu ni Bibi Au...jpg
 
Hivi utamaduni huo wa ndonya na kuchanja michoro ya kutisha mwilini ulianzishwa kwa lengo gani?

Some say it was for evading slavery captivity, the ugly look pressumed to scare slave master's kids.
 
Africa tamaduni zetu Zinafanana nilikutana na mwanamke wa Ethiopia ana tattoo kama hizo nilishangaa nawao, wamo kama Msumbiji.
 
Alizaliwa lini?
age is a mind thinking and not the condition of the skin
 
Back
Top Bottom