Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,627
Ni picha iliyobeba hisia kali,picha ya wapigania uhuru haswaa na bila shaka ndicho chanzo cha raisi Ramaphosa kuzomewa jana katika mazishi ya Mugabe kule Zimbambwe. Picha ya kwanza inamuonyesha Keneth akiteta na Mugabe kipindi cha uhai wake huku wambea wanasema alikuwa akilia na nyingine akimuaga comrade mwezake kwenda katika makazi ya milele