Hapa ni Benghazi 1983 wakati huo Jenerali akiwa naibu katibu mkuu wa Pan African Youth Movement, Ghadafi alikuwa ndio mfadhili mkuu wa Pan African Youth movement
Wkt huo kilikuwa ni chama cha kina Nyerere na kulikuwa na siasa safi na uongozi bora ! nawe ulisoma bure na pamoja na makabwela,matajiri,wazungu,wahindi,waaarabu nk wewe mwana wa nchi uliheshimika na sio sasa !