Najivunia sana ngozi yangu ngumu...kwa kua utafiti niliofanya usio rasmi nimebaini ngozi light (kwa maana ya wazungu) ni wepesi sana kugeuka pale hila zao zinapobainika...nadhani sistahili kuonesha mifano so far ni wengi tu wamewajibika kwa makosa waliyofanya/kufanyika wakiwa wakuu wa ofisi fulani...Haiingii akilini watendaji wakuu wa taasisi km Tanesco kufurahia viyoyozi vya umeme usiotabirika ilihali kuna kashfa nyingi kwenye taasisi zao...ni kichekesho pia Mr Hosea kuendelea kukalia bench la TAKUKURU na kashfa zote zinazoielemea ofisi yake...ya Arusha yangetangaza wema wa Afande Mwema km angevua magwanda na kukaa aside! Unapotokea mkanganyiko mkubwa namna hii na bado sura zinaendelea kubaki zile zile,kwanini tulio na mawazo mbadala tusiwe na mawazo kwamba bwana mkubwa ana mkono wake ktk mambo haya? Mkuu MM,niombe radhi nilistahili kuangalia picha tu ila nimeenda beyond scope ya picha...