Picha: Wawakilishi wetu mnapoendelea na kikao bajeti msisahau picha hii ya hali halisi ya biashara mtaani

Naibu Waziri husika kasema Bungeni hivi karibuni kuwa, pamoja na baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao "UCHUMI" wetu unakua.
Eti kwake ni sawa tu!
 
Wanafunga maduka hayo ya kulishia familia alafu watailisha familia upepo, wapambane tu mazungira yanavyobadilika nawe badilika chap
 
Nyakati hizi ukiona mtu sio Mhindi anakula milo mitatu,minofu mfulizo hakosi kwenywe vinywaji,kila siku anaweka mafuta gari ya kutembelea,na bado anajenga nyumba ni mfanyabiashara pia ana kale kamashine ka risiti..huyo mpigie saluti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…