Dah.Naibu Waziri husika kasema Bungeni hivi karibuni kuwa, pamoja na baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao "UCHUMI" wetu unakua.
Eti kwake ni sawa tu!
Hivi hii siku bado ipo?Leo Jumamosi siku ya usafi.
Mkuu yuko mesini keshashiba huyo na ana kitu kinywani anaendelea kutafuna na wakubwa wenzie unatarajia vipi awasemee wanyongeRostam inabidi azungumzie hizi ishu sio za 45 Mins.
Mkuu yuko mesini keshashiba huyo na ana kitu kinywani anaendelea kutafuna na wakubwa wenzie unatarajia vipi awasemee wanyonge
Saa 10.45 asubuhi? Umewahi mnno!Picha inajieleza imepigwa saa 10:15 Asubuhi muda wa kazi.Si kwamba waliofunga wapo msibani la hasha.Hii ni sample ya miji mingi Tanzania kwa sasa,wawakilishi wetu semeni ukweli.View attachment 1101080View attachment 1101089View attachment 1101098