Picha: Wawakilishi wetu mnapoendelea na kikao bajeti msisahau picha hii ya hali halisi ya biashara mtaani

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,611
13,160
Picha inajieleza imepigwa saa 10:15 Asubuhi muda wa kazi.Si kwamba waliofunga wapo msibani la hasha.Hii ni sample ya miji mingi Tanzania kwa sasa,wawakilishi wetu semeni ukweli.
IMG_20190518_101049_7.jpeg
IMG_20190518_101657_6.jpeg
IMG_20190518_101944_2.jpeg
 
Naibu Waziri husika kasema Bungeni hivi karibuni kuwa, pamoja na baadhi ya wafanyabiashara kufunga biashara zao "UCHUMI" wetu unakua.
Eti kwake ni sawa tu!
 
Wanafunga maduka hayo ya kulishia familia alafu watailisha familia upepo, wapambane tu mazungira yanavyobadilika nawe badilika chap
 
Nyakati hizi ukiona mtu sio Mhindi anakula milo mitatu,minofu mfulizo hakosi kwenywe vinywaji,kila siku anaweka mafuta gari ya kutembelea,na bado anajenga nyumba ni mfanyabiashara pia ana kale kamashine ka risiti..huyo mpigie saluti
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom