Unanibishia au? Huo ndo ukweli mkuu
Ulikuwepo?
hata mpira ungekuwa mzito hiyo ndege inatembea so mpira lazima uachwe nyuma tu, mleta mada mzushikwa huo upepo uliokuwa huko juu nahisi huo mpira wa "tennis" ulikuwa mzito sana. Na hiyo meza ilikuwa ya chuma. Yani physics inakataa kabisa.
Na wewe...swaliii zuri sana hilii.... ha ha ha
hata mpira ungekuwa mzito hiyo ndege inatembea so mpira lazima uachwe nyuma tu, mleta mada mzushi
Ingekuwa leo ni tarehe 1 april ningekuelewa