Picha: Watoto wakimlinda Rais Biden

Picha: Watoto wakimlinda Rais Biden

wako field hao madogo, pengine hizo ndio ndoto zao so wamepewa fursa ya kuenjoy kile wanatamani, raha ya mbele ukishachagua unachopenda basi focus inaelekezwa huko mapema.. sio mpaka ukose ajira au upate zero ndo uombe nafas jeshi au polisi
Duh nimecheka
Eti sio mpk ukose ajira au upate zero🤣🤣
 
Hapo ni white house ulinzi wake umo balaha waliongia umo kabla ya kuingia wanakaguliwa kuanzia background check mpaka siku hiyo wanaongia ndani hivyo usalama tayari ni asilimia zote
 
Kampeni za Urais ndio zimeanza; hapo inaonesha kuwa watoto na vijana wanamkubali mpaka kulinda maisha yake!!
Hao watoto wanawakilisha rangi zote, nafikiri hivyo
Nilikuwa nasikiliza Radio moja huku
Vijana wanahojiwa wanasema apishe damu mpya, wanasema kazeeka mno aachie tu
 
Vijana wanahojiwa wanasema apishe damu mpya, wanasema kazeeka mno aachie tu

Suala la umri is a non issue, la muhimu je anaweza kutimiza majukumu yake kwa ufanisi? what has he achieved while in office? Majibu ya hayo maswali ndio yatawaelekeza wapiga kura kumchagua au kutomchagua na sio vinginevyo.!
 
Back
Top Bottom