PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

PICHA: Watoto wa Arnold Wamelelewa tofauti, mmoja kalelewa na baba yake mwingine na mama yake. Ona tofauti hapa

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
3,185
Reaction score
12,332
Screenshot_20250824-153748~2.jpg

Uzi tayari.

Hitimisho:
Single maza ndio chanzo cha kupoteza masculinity ya watoto wa kiume.
 
Mtoto WA kiume anazaliwa na kulelewa na mama pekee,

Tena kwenye geti Kali,haruhusiwi kuchangamana na watoto wa uswazi

Kila akiamka asbh anaona mama anajipodoa na kuvaa vipedo na mawigi, Mara kapaka shedo

Wageni wote nyumbani ni WA mama wavaa Madera, Mara vidole juu, kutwa kujadili umbea. Mtoto nae anakaribishwa kuchangia.

Mara haitwi tena jina lake, anaitwa "shostito"

Siku uyo mtoto akitolewa nje,
Ndo kizazi hiki tunachokishangaa kwenye media.

Kizazi kamili chenye viashiria vyote vya jinsia tofauti, yaani jinsia ke, Almaarufu kama ushoga
 
Kwa kuongezea tuu mtoto wa kiume aliyelelewa na mamayake wengi wanawachukia baba zao hata kama baba amehudumia A to Z.
Ndo hawq vudume vya plastic wanaoimba nani kama mama.

Wengi wenye kuhusudu swaga za "nani kama mama wamepotishwa na mama zao",cha ajabu hawataki watoto waimbe nyimbo waziimbazo.
Conclusion:
Kama vile nyani na mbwa (wanyama) wasivyo ogopa wanawake je, shetan ktk ulimwengu wa roho anawachukuliaje, washkaji au mashost zake?
 
Maelezo zaidi kuhusu hiyo picha kwa msaada wa Google search image, maana nilitaka kujiridhisha ikiwa ni real image au ni AI generated,hii image ni real.

picha inaonyesha watoto wawili wa Arnold Schwarzenegger: Joseph Baena (kushoto, akiendesha baiskeli pamoja na Arnold) na Christopher Schwarzenegger (kulia, akitembea na Maria Shriver).

  • Joseph Baena: Ni mtoto wa Arnold Schwarzenegger aliyezaliwa kutokana na uhusiano wa kimapenzi na mfanyakazi wa nyumbani wa zamani, Mildred Baena.
  • Christopher Schwarzenegger: Ni mtoto wa Arnold Schwarzenegger aliyezaliwa katika ndoa yake ya zamani na Maria Shriver..
 
Wabongo wengi ni hewa, Kazi kudandiadandia tu
 
Back
Top Bottom