Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Kama ameweza kuwafanya hivi Wanyaturu ambao walikuwa wameaminishwa kuwa CCM ndio mkombozi wao kumbe inawafanya wawe moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania basi kafanya kazi.
Watu kule walizoea Mohamed Dewji anakuja muda mchache kabla ya uchaguzi anagawa kilo mbilimbili za sukari na unga anachukua kura, sasa sijui 2015 itakuwaje.
Huko sio kwa dewji huko ni kwa Nyalandu....ni kijiji kipo ndani haswaa..hakuna hata umeme...wanalima sana vitunguu.....Ni moja ya sehemu masikini sana Tanzania....nashangaa watu wote hao wamepatikana vipi...Inaonekana mwamko ulikua mkubwa sana