Mkuu taarifa zako huwa creidible sana ila jana kuhusu wahuni wa ACT umezingua
mkuu naomba kurudia kauli yangu "this is a verified information" subiri utaona
Mkuu taarifa zako huwa creidible sana ila jana kuhusu wahuni wa ACT umezingua
..... Mumejaribu Lakini Mumeshndwa, Mara Oooh Cdm Wakristo, Mara Oooh Ni Magaidi. Sijui Safari Hii Mtakuja Na Ipi
Si ndiyo yule aliyekuwa mtangazaji wa Channel Ten?Kijana sijui alikuwa anangoja nini siku zote hizi. Kazi ambayo ameifanya kwa siku kadhaa zilizopita kwakeli imeonekana wazi. Kwanza ana style ya aina yake, hata lugha ya jazba bali maneno yake ni makali sana. Kweli Chadema ni tanuru la kupika vijana ili wawe wanasiasa bora kabisa. Huyu baada ya mwaka ni moto wa kuotea mbali.
View attachment 207296
Kama ameweza kuwafanya hivi Wanyaturu ambao walikuwa wameaminishwa kuwa CCM ndio mkombozi wao kumbe inawafanya wawe moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania basi kafanya kazi.
Watu kule walizoea Mohamed Dewji anakuja muda mchache kabla ya uchaguzi anagawa kilo mbilimbili za sukari na unga anachukua kura, sasa sijui 2015 itakuwaje.
Si ndiyo yule aliyekuwa mtangazaji wa Channel Ten?
Mkuu ahsante kwa jibu lanyongeza, ni kweli niliwahi muona pale Vodacom HQ....Ndie huyo na pia alikua pale voda com
angebadili dini angekuwa na mshiko cdm hapo anatumika kama mshumaa ataishia kama alfi na zitto.anashabikia chama ambacho kinataka kuvunja muungano.pole kijana una pupa bila kujua
Kinana kisha kata tamaa. Yeye anajenga chama huku nyuma wenzake wanapiga pesa na kubomoa alikojenga na nyuma yake. maalimu anafuta nyao, mbona kazi!!?
....
Watu zaidi ya milioni orobaini kuwatumikia watu wachache HAIWEZEKANI !!!!
![]()
Ukiweka bendera ya chadema hata awe mtoto anayehutubia watu watajaa tu
angebadili dini angekuwa na mshiko cdm hapo anatumika kama mshumaa ataishia kama alfi na zitto.anashabikia chama ambacho kinataka kuvunja muungano.pole kijana una pupa bila kujua
angebadili dini angekuwa na mshiko cdm hapo anatumika kama mshumaa ataishia kama alfi na zitto.anashabikia chama ambacho kinataka kuvunja muungano.pole kijana una pupa bila kujua
angebadili dini angekuwa na mshiko cdm hapo anatumika kama mshumaa ataishia kama alfi na zitto.anashabikia chama ambacho kinataka kuvunja muungano.pole kijana una pupa bila kujua
Umemwona msure anavyoyaangalia majambazi kwa dharau. Lukuvi ameshinda usiku kucha akivizia ripoti ya PAC aiibe kashindwa wajamaa wakailalia. Chama cha majambazi....
Nimetumwa na wananchi kuwatetea na simama kuwakilisha wanyonge upo hapo!!!!
![]()
Kijana sijui alikuwa anangoja nini siku zote hizi. Kazi ambayo ameifanya kwa siku kadhaa zilizopita kwakeli imeonekana wazi. Kwanza ana style ya aina yake, hata lugha ya jazba bali maneno yake ni makali sana. Kweli Chadema ni tanuru la kupika vijana ili wawe wanasiasa bora kabisa. Huyu baada ya mwaka ni moto wa kuotea mbali.
View attachment 207296
Kama ameweza kuwafanya hivi Wanyaturu ambao walikuwa wameaminishwa kuwa CCM ndio mkombozi wao kumbe inawafanya wawe moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania basi kafanya kazi.
Watu kule walizoea Mohamed Dewji anakuja muda mchache kabla ya uchaguzi anagawa kilo mbilimbili za sukari na unga anachukua kura, sasa sijui 2015 itakuwaje.
Kasumba hizozimepitwa na wakati. za kuwapmbaza watu ili wachache ndio hati miliki ya Taifa kwa kujineemesha kidhulma na sisi tubaki kupiga miyao ya njaaangebadili dini angekuwa na mshiko cdm hapo anatumika kama mshumaa ataishia kama alfi na zitto.anashabikia chama ambacho kinataka kuvunja muungano.pole kijana una pupa bila kujua
Ha ha ha ha naona mkuu roho unataka kukutoka. Watanzania wameamka sasa wameujua ukweli mnajifanya mnauchungu Na maisha ya watanzania kumbe majambazi wakubwa mnagawana fedha za umma Kama mahindi ya njaa. Kiama kinakuja hamtaamini kitakachotokea sijui mtakuja na sera ipi baada ya hii ya uwizi mlioufanya benki kuu ktika escrow acc.angebadili dini angekuwa na mshiko cdm hapo anatumika kama mshumaa ataishia kama alfi na zitto.anashabikia chama ambacho kinataka kuvunja muungano.pole kijana una pupa bila kujua
Ndie huyo na pia alikua pale voda com