Uchaguzi 2020 Picha wasizopenda kuziona Lumumba

INRI

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
1,199
2,000
Nawasilimu wakazi wa JF!


Kuna picha zipo mtandaoni Lumumba wakiziona wanaumia mara mbili.

Hizi ni kama za Tundu Lissu akionesha Tabasamu lenye kuashiria Ushindi, Uso wa Lissu ni wenye furaha ya ndani kutoka kumoyo.

Hizi ni zile picha ambazo LISSU hatumii wanafunzi, Wasanii na kusomba watu kwa kuwapa elfu tano ili kujaza idadi.

Mama Nyerere aliongea wazi aliletwa kuongeza idadi hakuwa tayari kuja

Basi naomba tuzitupie picha hapa, wakipaniki tunaongeza spana.


Ni yeye 2020.

IMG_20200916_081205.jpeg
 

INRI

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
1,199
2,000
Dogo umeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji siyo?

Hebu tazama hii ya miaka 10 iliyopita kisha niambie huyo Lisu wako anaingia mara ngapi hapo? View attachment 1571855 View attachment 1571856 View attachment 1571857 View attachment 1571858 View attachment 1571859
Mbona unateseka?

Hapo kwanza ilikuwa ni UKAWA.... SAWA?

MBALI YA YOTE TUNDU LISSU KAVUNJA REKODI KUKUBALIKA NA MAELFU BILA UKAWA, WASANII, KUTOROSHA WANAFUNZI, KULAZIMISHA WATUMISHI KUJA MIKUTANONI NA BILA MALORI NA MAFUSO PAMOJA NA MABASI.

NI YEYE TU.
tapatalk_1600270550830.jpeg
tapatalk_1600270544402.jpeg
Screenshot_20200913-214059~2.jpeg
kilewo2020mwanga_20200913_215007_0.jpeg
Screenshot_20200913-214312.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom