Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Ni kweli mkuuUkweli tunangoja tuone siku akienda Songwe Tunduma na Mbeya. Hapo tutajua kazomewa kweli au uongo!
Ni kweli mkuuUkweli tunangoja tuone siku akienda Songwe Tunduma na Mbeya. Hapo tutajua kazomewa kweli au uongo!
Unadhani ni Nani atathibitisha hili?Nasikia kuna mgombea ameambiwa
HATUKUTAKIIIIIIIII
Sijui ni kweli au stori tu
A freeman lives a happily life everNawasilimu wakazi wa JF...
Crimea si uposti za magu?? Mbona unaumia sana.Na huyu ni Lowassa 2015.
Kiufupi huyu Lissu wako ni tone tu kwenye bahari
View attachment 1571861View attachment 1571862View attachment 1571863View attachment 1571864
Hii mmeipiga angle ya mbali Sana ili watu waonekane wengi.Leo Tunduma simba amengurumaView attachment 1571930
Endeleeni kudanganyana na kujifariji!Nasikia kuna mgombea ameambiwa
HATUKUTAKIIIIIIIII
Sijui ni kweli au stori tu
Hakuna mwana ccm wa hivyo ww nyumbu!Wanaccm wote tunaojitambua tutampigia kura Mh Tundu Lissu.
Hatutaki vidampa
Kaamuru kijiji kizima kikamatweNasikia kuna mgombea ameambiwa
HATUKUTAKIIIIIIIII
Sijui ni kweli au stori tu
Sio kweliKaamuru kijiji kizima kikamatwe
Stori za vijiwe! Tulolieni daw iwaingie , kama Rais alizomewa leteni video! La sivyo mnatwanga maji kwenye kinu!..Ni kweli mkuu
Kaamuru wapi wewe! Leteni video! Yaani ninavyowajua mngeshaleta video humu! Msijitekenye wenyeww nyie nyumbu!.Kaamuru kijiji kizima kikamatwe