Picha: Warangi ni warembo balaa!

Picha: Warangi ni warembo balaa!

Urembo wao ni rangi na uzuri wa sura tu, hebu wapige picha toka kichwani hadi miguuni, hebu wageuze thn ndo utasema, kila jamii imeberikiwa kwa namna yao, wengne sura, rang, hata maumbo mazur
 
miguu yao sasa...hapo ndiyo huwa nachoka
kama hii...?

1234410_517108215039166_1930890537_n.jpg
 
hahaaaa Shehe HILAL KIPOZEO..huyo jamaaa ni noumaaaa sanaaa

Mkuu yule Sheikh Hilal Kipoozeo ni noma sana hasa upande wa mizigo mizito mizito mmh sipendi wale wembamba
 
Hahahaha aisee hayo maneno nliyasikia kwa mtu mmoja hv

Mkuu kuna sheikh mmoja maarufu sana anaitwa Hilal Kipoozeo duh ana maneno sana nenda youtube andika sheikh Kipoozeo basi hapo utapata kazi zake nyingi sana .
 
mi ntaaminije kama hawa warangi ingawa kweli wana rangi
nenda kondoa utawakuta kibao...kazi kwako tu kujitafunia. Smile na Passion Lady njooni uku mnatafutwa au mshatimkia kijijini? Pia Ye Soya jiandae maana na wewe pia watafutwa huku
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwa jamii yote ya wa iraq ni wahuni au ni baadhi baadhi tu?
 
Back
Top Bottom