Picha: Warangi ni warembo balaa!

Picha: Warangi ni warembo balaa!

What is wrong with kukeketwa? Are you sure your mother is not mutilated! These are African customs! They might be overdue, but it is not healthy to use the term in a derogatory sense to your fellow beings particularly your sisters!
mh! Umevunja yai balaa. Wenzako wa div 5 tumetoka hola!
 
kama hii...?

1234410_517108215039166_1930890537_n.jpg

hii ya kibondo kwenye funza
 
leroy kila niionapo avatar yako nakumbuka ule wimbo wa 'tema mate tuwachape'
 
mh! Umevunja yai balaa. Wenzako wa div 5 tumetoka hola!

Umenielewa, nasema sawa kukeketwa kumepitwa na wakati, lakini tusiwabeze dada zetu ambao wamekeketwa kama vile hawana thamani. Ni mila zetu za kiafrika, zimepitwa na wakati lakini tusiwabeze waliokekektwa enzi hizo. Sipendi mkuwabeza wanawake maana ni mama zetu,. Si ajabu namama zetu wamekeketwa!
 
Kwa sura wanatisha ongeza na ndugu zao warangi, wanyiramba na akina lawayi#saita sayu
 
Warangi ni feni au sio feni
unaposema ni feni una maanisha kuzungusha kunako 6 kwa 6? Weka wazi wajuzi wakusaidie. Smile na GITe mnatafutwa uku mje kujibu. Eti nyie ni feni?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom