Picha: Wapi nitapata hii Biblia?

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Wanabodi habari za asubuhi,natanguliza heshima zangu kwenu kwa wingi, Nina shida sana na aina ya Bible hii inaitwa " New Marked Reference Bible; Concordance"
Nahitaji kujua Bei yake ( hard copy)
Na pia kama kuna Version yake ya kiswahili. Naomba sana mawasiliano yangu ni

0625568600

Naomba msamaha kwa wasio amini Bible, kwa kuweka tangazo hili hapa
Nimeshindwa kuweka kwenye jukwaa la Imani na Dini kwani ni mwezi umeisha sasa tangu kuwaomba Mods waniunge huko bila Mafanikio sasa imenilazimu kuweka hapa Mods naomba msitoe hili Bandiko kwasababu mtakapopeleka mm hulo sipo hivyo sitopata msaada labda mniunge huko.
1477125152449.jpg
 

Attachments

  • 1477125089264.jpg
    1477125089264.jpg
    62 KB · Views: 50
  • 1477125096670.jpg
    1477125096670.jpg
    59.4 KB · Views: 41
  • 1477125102720.jpg
    1477125102720.jpg
    31.6 KB · Views: 59
Wanabodi habari za asubuhi,natanguliza heshima zangu kwenu kwa wingi, Nina shida sana na aina ya Bible hii inaitwa " New Marked Reference Bible; Concordance"
Nahitaji kujua Bei yake ( hard copy)
Na pia kama kuna Version yake ya kiswahili. Naomba sana mawasiliano yangu ni

0625568600

Naomba msamaha kwa wasio amini Bible, kwa kuweka tangazo hili hapa
Nimeshindwa kuweka kwenye jukwaa la Imani na Dini kwani ni mwezi umeisha sasa tangu kuwaomba Mods waniunge huko bila Mafanikio sasa imenilazimu kuweka hapa Mods naomba msitoe hili Bandiko kwasababu mtakapopeleka mm hulo sipo hivyo sitopata msaada labda mniunge huko.View attachment 422273

Ukipata nami niambie mkuu.
Ahsante.
 
Ukipata nami niambie mkuu.
Ahsante.
Unafikiri kuna tofauti sana sana ni color -coded .kwa maana ya Red -salvation .Green - holy spirit .Blue -prophecy.Gold -temporal blessing ,lakini kiujumla ni Biblia toleo la king James .King James version KJV .Nina maana ni biblia kama zingine ila hii zimetumika rangi kuraishisha ufahamu juu ya eneo utakalokuwa unalisoma ni la fungu gani la imani .kama nilivyo yataja hapo juu
 
Back
Top Bottom