PICHA: Wanaume mnapenda Mwanamke mwenye Umbo gani? Mwanamke unapenda umbo gani?

Huku kote n kukosa madili. Unaanzaje kuleta habr za ajabu tena za fb kwa watu wazima na wasomi. Wewe kama unapenda umbo la mwanamke c ukae kimya au uanzishe group la whatssap ujadili vizur na kada yako, ss tunawaza familia na maendeleo wewe pengne huna mke wala mtoto ndo maana unaleta tabia za fb. Huku cyo mahala pake ndugu. Jitambue acha mawazo ya mwaka jana (2017) sasa ni 2018. Jiulize ulifanya nn mwaka jana na utafanya nn mwaka huu.
Mwisho kuwa na hofu ya mungu kwa iman yako. Daima utashinda.
 
Punguza povu kiongozi. Hili ni jukwaa la mapenzi.
 
Nenda jukwaa la uchumi, huku unatafuta nini? Au nenda jukwaa la wajasiriamali au nenda jukwaa la intelligence utakutana na wenzako wenye akili nyingi kama wewe.
 
Sio kwa Waraka Huu, vyuma havijawahi kumuacha mtu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…