Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 788
Kagame Cup Vp jomba?Yaani wengine wanakunywa Coca na Kipaplipapli wakati wakati watu wanaopolewa Baharini huko Chombe?...Hivi hizo sodA ZINASHUKAJE?
Kagame Cup Vp jomba?Yaani wengine wanakunywa Coca na Kipaplipapli wakati wakati watu wanaopolewa Baharini huko Chombe?...Hivi hizo sodA ZINASHUKAJE?
We jamaa naomba namba yako nikutumie meseji ya vitisho sasaivi maana naona unachokonoa chokonoa sana
Kwa wasio mjua ZOMBA ni huyo aliyevaa shati la batiki.
Yaani wengine wanakunywa Coca na Kipaplipapli wakati wakati watu wanaopolewa Baharini huko Chombe?...Hivi hizo sodA ZINASHUKAJE?
Misukule ya baba mwanaasha hiyo, haina matumaini kabisa ya maisha inangojea 2015 ipewe zile sanda zao za njano na kijani kwa maziko rasmi ya chama lao la kishetani.