educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 403
- 464
Jamani hawa ndugu zetu toka pande za Bukoba (Wahaya) wamezidi mbwembwe mpaka harusini huyu bwana harusi alileta mashauzi kwenye harusi kwa kuruka mpaka suruali ikachanika (ikatatuka) Aibuuuu!!!
Hawa jamaa wana mbwembwe halafu ndio ukutane na aliyemaliza form 4. Jamaa anaruka na kukanyagana kama mgambo!Jamani hawa ndugu zetu toka pande za Bukoba (Wahaya) wamezidi mbwembwe mpaka harusini huyu bwana harusi alileta mashauzi kwenye harusi kwa kuruka mpaka suruali ikachanika (ikatatuka) Aibuuuu!!!
mhaya huyo anafurahia papuchi
una weza sema wame edit...! kumbe kitu real,..ama?....
....ebwana weee si mchezo !!!
![]()
una weza sema wame edit...! kumbe kitu real,..ama?