Picha: Vituko vya CCM, chama tawala Tanzania!

Picha: Vituko vya CCM, chama tawala Tanzania!

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,580
Reaction score
23,915
Karibu msomaji;

Untitled-12.jpg

Untitled-11.jpg

Untitled-4.jpg

Untitled-7.jpg

Untitled-2.jpg

Hata upinzani hawakusalimika;

Untitled-3.jpg

Na kama hiyo haitoshi;

Untitled-15.jpg
Chama tawala indeed!
 
Hahshaaaaaa hio picha ya kwanza kali sana hadi akina mama wanaona aibu
 
Yani wana kila sifa mbaya wauaji,matapeli ,majangili bila kusahau ni wazee wa viburudisho mkulu akiomba tu namba ya simu kesho utamsikia mdada wa watu ni mbunge wa viti maalum

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hehehehe... Mag3 umezipata wapi hizi mkuu!
Tehetehetehe... Burudaaaaani...
 
Last edited by a moderator:
kupitia picha hizi kuna vitu nimegundua....1 kanga moko ilikuwa originated hapo.eg laki si pesa kimboka buguruni 2.wale baik****k wa tanga watakuwa ni members wao wenyewe mliona last week mambo zao. picha ya kwanza kabisa kuna mmama cjui ni mdada kumbe ni mamluki.
 
Pamoja na picha kuwaumbua CCM, hii video inawaacha uchi kabisaaa!

Pamoja na vita hivyo kuendeshwa mitaani, hakuna mtu aliyekamatwa wala kuhojiwa kwa sababu hakuna polisi aliyekuwa na ujasiri wa kutia mguu..!
 
Last edited by a moderator:
Njilembera; Mkuu hiyo siyo safi sana bali ni aibu sana maana inawapotosha watoto wa Tanzania kwani hawachelewi kuiga hizi dance za magamba!
 
Last edited by a moderator:
Kwa style ya picha ya pili kutoka chini, CDM na raia wote wasio wanachama wa ccm wana kila sababu ya kupitia mafunzo ya ukakamavu, haijalishi yanaitwa redguard, whiteguard au pinkguard ili kujilinda na hawa jamaaa.
 
Pamoja na picha kuwaumbua CCM, hii video inawaacha uchi kabisaaa!

Pamoja na vita hivyo kuendeshwa mitaani, hakuna mtu aliyekamatwa wala kuhojiwa kwa sababu hakuna polisi aliyekuwa na ujasiri wa kutia mguu..!

Ni aibu kwa hiki chama.
 
Last edited by a moderator:
Kwa style ya picha ya pili kutoka chini, CDM na raia wote wasio wanachama wa ccm wana kila sababu ya kupitia mafunzo ya ukakamavu, haijalishi yanaitwa redguard, whiteguard au pinkguard ili kujilinda na hawa jamaaa.

Hahahaaaaaa, mkuu eti whiteguard, pinkguard nk! Naona kauli ya CHADEMA imewachanganya sana ccm na serikali! Tusubiri tuone mwisho wa sinema hii.
 
Back
Top Bottom