Picha: Vituko vya CCM, chama tawala Tanzania!

Picha: Vituko vya CCM, chama tawala Tanzania!

nawachukia sana wanasiasa wanaotafuta maslah binafs kama nchemba mwigulu,hii ni nchi ya watanzania si ya mwigulu, ccm wala chadema ipo siku watanzania wataamua kwa kuwa leo wanaona na kuumia
 
Hivi JK analindwa na Usalama wa Taifa kweli?
 
chama cha mashangingi.kina tabia km hizi!da hiyo kufuru ndio maana wana laana..
 
Hivi kuna hata chembe ya busara hapo kwa picha hizi si ajabu wanasherehekea sera za division 5 na kushusha kiwango cha ufaulu wa mitiani wa kidato chapili kutoka alama 30 kwenda 20 ilihali madeni ya walimu hayalipwi ufaulu unazidi kuporomoka walimu wanakinyongo wao wanasherehekea kwa michezo inayo ashiria uzinzi, huku wakitudanganya kwa kibwagizo cha maisha bora kwa kila mtanzania na watoto wao wanawakimbizia kusoma shule za nje. Watatutambua 2015
 
hahahaaa chama chetu cha mapinduzi chajenga nchiiiii chama chetu cha mapinduzii chajenga nchiiii
 
Hiyo picha ya pili kutoka mwisho huyo jamaa alipona kweli?
 
1390720610930.jpg 1390720645367.jpg
 
Akili za wanaccm zinawatosha wao wenyewe. Kwa hayo matukio kwenye picha mtu akiyaunganisha na kutengeneza filamu anaweza kuuza mpaka akachanganyikiwa.
 
Shibe mwanamalevya, hawakumbuki kama kuna watu wanalala njaa hapo!
 
Walete walete... wapi ile Iyena Iyena anaonge na yule mbunge wa "vitu maalum" huku mkono unasisitiza pajani.
 
Back
Top Bottom