Tanzania ya viwonderTumezindua kiwanda chenye Nguzo mbili mpya za umeme pamoja na Transformer yake. Hakika haya ni maendeleo makubwa sana kuelekea Tanzania ya viwanda.View attachment 758988
Hii nilikuwepo hapo siku tunazindua, hii ni mafinga, haka kakiwanda ketuTumezindua kiwanda chenye Nguzo mbili mpya za umeme pamoja na Transformer yake. Hakika haya ni maendeleo makubwa sana kuelekea Tanzania ya viwanda. Hii ni kazi kubwa ya Serikali ya CCM.View attachment 758988
Ile ilikuwa bora kuliko hii,maisha hayakuwa magumu kama hiiTanzania ya Leo imekuwa Tanzania ile ya mwaka 1957
Kumbe upo?Tanzania ya Leo imekuwa Tanzania ile ya mwaka 1957