PICHA: uwezo wa Jeshi la MAREKANI!

PICHA: uwezo wa Jeshi la MAREKANI!

uwezo gani huo ha ha ha.... gaseous state..danganyika wewe yako
 
Yenu ni lazima yawashinde kwani viongozi wenu wameweka maslahi yao mbele kuliko uzalendo!! Unafikiri Shimbo kupelekwa kuwa balozi China ilikuwa bahati mbaya au mpango kabambe wa kwenda kukaba 10% ya manunuzi ya hivyo vifaa vya kivita!!!


[/COLOR]

actually that quote "yetu yametushinda" yanajumuisha na wewe pia

run run run... but the shadow iko palepale
 
Lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huku kwetu jamaa anapasua matofali ya tope kwa mkono na kichwa juzi tunashangiliaaaaaaa!!!!

Well, ndo uwezo tulo nao huo!!!
 
kwani unataka tulinganishe na vile vyetu tulivyo viona kwenye sherehe za Muungano?!

siku ya Muungano tuliambiwa vile vyetu ni kama vya ulimwengu wa kwanza
Zinduna, basi USA haipo ulimwengu wa kwanza
 
Last edited by a moderator:
Hao USA ni wafanyabihashara wala msitishike hawawezi kuzitumia hizo silaha ila sisi tutakaonunua ndio tunaweza kuzitumia, na hizo wamedesign tu hazijatoka. Tulizoonyeshwa juzi ndio current weapon kabisaaa. Zinduna fuatilia vizuri uwaambie wana-Jf ukweli.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha da aisee watu wengine bana hadi wanafananisha na zile za kwetu bana da....
 
Hata uwe na vifaa vipi, kama huna fighting spirit its useless. That's why Vietnam and Farrah Aideed kicked US's ass pamoja na madubwasha yoote waliyonayo and also they can't do sh.t in Afghanistan and Iraq!
 
Hata uwe na vifaa vipi, kama huna fighting spirit its useless. That's why Vietnam and Farrah Aideed kicked US's ass pamoja na madubwasha yoote waliyonayo and also they can't do sh.t in Afghanistan and Iraq!

Bravo hapo umenena pia mrussi somo yake Crimea hata kusogeza ndege hawezi anajua itashushwa
 
Lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huku kwetu jamaa anapasua matofali ya tope kwa mkono na kichwa juzi tunashangiliaaaaaaa!!!!

Well, ndo uwezo tulo nao huo!!!
Na wale waruka sarakasi kuna mmoja akamgonga dogo kibahati mbaya. Ukiongeza na askari magereza walipoonyesha umahiri namna ya kukabiliana na mfungwa/wafungwa. Kwa kweli tunatisha
 
Mbona kama vya tanzania tu sema wamarekani hawawezi kupiga kichwa tofali.

Naona umeniwahi!!! Na mimi nilitaka kusema kilichokosekana hapa ni makomandoo wenye uwezo wa kuvunja tofali za kuchoma!!!!!

Tiba
 
sasa mbona pale Urusi anafyata?. Tafuta na onyesha vya urusi,china na korea kaskazini!
 
Duh, wapo vizuri., where is Russia? let's make comparison
 
Na Urusi tulionyeshwa picha kama hivi tu
 
Back
Top Bottom