Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.Hivi Songea hawana wabunge?
Wee umelala?Duuh! Mzee uko macho mda huu
Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Nyie ndio wa Chato?![]()
![]()
![]()
Amkeni sasa Waana Wa Lizombe,,,wenzenu huku tulishaamka kitambo!
![]()
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Chato uwanja wa ndege wa kazi gani?Songea mnataka Uwanja wa kazi gani¿¡
Ni matumizi mabovu ya fedha kujenga uwanja wa ndege Songea.
Ruvuma ni muhimu sana kwa nchi hii kuliko Chato. Sisi tunalisha nchiSasa si muhamie chato...
Nako Chattle ni matumiz mabaya ya fedha za umma lakin haiwi sababu ya kufanya hivyo na Songea.Chato uwanja wa ndege wa kazi gani?
Hakuna sehemu inaitwa Chattle ndani ya nchi hii, utashitakiwa kwa uchochezi na uwongo!Nako Chattle ni matumiz mabaya ya fedha za umma lakin haiwi sababu ya kufanya hivyo na Songea.
Hivi ulifaulu mitihani yako kweli wewe?. Umeulizwa hivi unajibu vile, ovyo kweli wewe!Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Hahahahaaaaaaa endeleeni na utaratibu wenu wa kupokea makapi ya ufisadi yanayotimuliwa CCM, sisi wenye kujitambua kamwe hatuji huko kwa wapiga dili. Chama chenyewe mlishamuuzia Lowassa fisiadi kitambo then bado mnakuja hapa kutushawishi rubbishes!!Arusha. Upinzani kibao maendeleo kibao. Kilimanjaro CHADEMA kibao lami hadi vyooni. Hamjaliona hili ?? Chagua CHADEMA. chagua maendeleo