Umati wote huo watoke 70 tu
Watu ni wengi sana na bado wanazidi kuja, kama ni mechi basi ni sawa na wale wanaoingia katika mechi za simba/yanga wanapocheza na timu za mikoani.
Ulinzi naona ni jukumu la askari magereza.
Taifa..
Ila mbona inaonekana wengine wazee au ni picha imewakuza? tatizo lingine wengine wana ajira tayar ila wanataka kukimbia ajira zao za zaman na kuingia serikalini na hata wengine niwaajiriwa wa serikali hasa walimu naomben jaman km mtu una ajra tayar waachie wadogo zetu wanaotoka shule tuache tamaa!