FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,035
- 40,700
Ila of course kwa kesi kama hii TAKUKURU wanahitaji angalau miaka kama 20 hivi kuchunguza..., tuwe na subira..!
Hata ukipewa nchi kwa mfumo huu huwezi. Huu mfumo umeoza nje ndani. Haya mambo ya undugunaizesheni yapo sana yaani ni shida. Wewe unafikiri kwa nini watanzania wengi ambao ni vichwa hasa wako nje?Ninasikitikia Tz...unajua South East Asia wametoka kwa sababu ajira serikalini inaheshimika saaana na ina base kwenye competency na wanaajiri vichwa walobaki ndio wanaenda private sector....
Ikija kwenye mikataba hizi nchi huwezi kuzidanganya hata uwe mmarekani...siongei tu msomeni Peter Evans: Developmental state
Mfano wamarekani walishindwa kabisa ku penetrate soko la Japan kwa kuwa mjapan ni mtu wa kuzungusha mpaka ukate tamaa...aamini mtu...hasa mzungu...
ningepewa uraisi miaka 5 tu mngejua kuwa Tz tunaweza kuendelea...maana nina wasiwasi na uwezo wa wenye vyeo vya juu serikalini...can they bargain? maana tuwahurumie jamani...si kila bao tunalopigwa ni rushwa...uwezo mwanawane uwezo mdogo....
Unakuta wanauliza...nisaini wapi...anaanguka tu page by page bila kusoma...
Hivi ni kwanini tusiwe tunanyonga haya makadava kama wanavyofanya China.., ni kwanini eti..???!!!!
Nendeni, kuna mtu kawazuia? Kama umeamua kujiaminisha huo uzushi! that means wewe sio mzalendo!
Hii haikwepeki kwa mifumo ya sasa ya maisha.
Kila binadamu ni mbinafsi .
Na ubinafsi mkubwa unajitokeza kwa wasomi wa karne hii. Ndio maana ukikaa Dar es salaam utakuta foleni ndefu ya magari madogo zaidi ya 300 lakini yana mtu mmoja mmoja = na watu 300 tu ambao kama wangepanda basi la abiria 45 seat level ingekua ni basi 7 tu.
Wasomi wamesambaratisha kabisa undugu tuliokua nao kwa kupenda maisha ya starehe na ufahari.
Kuna mtu ametoa mifano ya China na Japani lakini amesahau kwamba wale wana mifumo inayojenga undugu na kuaminiana.
Leo hii mtoto wa jirani yako akipata ajira anachoangalia ni namna ya kutoka kimaisha kwa muda mfupi na sio kuwahudumia watu kwa haki ili watu waone kwamba hata kama hujulkani unaweza ukapata huduma bora.
Tena akitaka kujenga anatafuta eneo la mbali kabisa na watu maskini ,fensi kubwa na hata kama ana bomba la maji hatoi hata kwa kuuza.Tofauti na hao wachina ambao wanajenga mjengo marefu na wanakaa pamoja kama familia moja . Imefikia watu wanajenga kwenye maeneo ya miji kikabila.
Matokeo yake watu wanarithishana ajira.
Hii iko idara zote mpaka kwnye siasa.
Hivyo tusiwalaumu wale waliopata fursa ya kuwarithisha watoto wao ajira za uhamiaji. Tena kwa nafasi za chini ,constable ambapo wengi ni wale form 4 hivyo kusema hapo kuna vichwa vilivyopigwa chini ni kudanganya watu.
Nina uhakika mishahara yao ni midogo sana ,rushwa tu ndio inawatoa hao maconstable.
Watu wanalia kwa kukosa fursa ya kwenda kula rushwa sio huo ukonstable wa sh.280,000/=
Rushwa na wizi makazini ndio kinachowafanya watu wengi kukimbilia hata kazi zenye mishahara ya kima cha mbuzi .

Bila shaka leo hawa vijana wanaanza usaili wao pale Taifa. Mungu awatangulie na wawe tayari kwa lolote ninawaombea sana wale wasio na baba,mama, shangz,mjomba, kaka, dada nk.
Yani wasio na mchongo kama mimi mana shetani ameshikilia sana uonevu kwetu katika maswala ya ajira.
Mungu awatangulie