Picha:Umbumbumbu wa magazeti yetu

Siku hizi haya magazeti nayaona kama porojo za wakina Mnyisazu, Matola na Molemo wa JF! Unategemea nini kutoka kwao! Wamejawa na ushabiki wa kidini badala ya 'professionalism' !
 
like or not, media or not, propaganda or not UKWELI unabakia kuwa kilichofanyika zanzibar under umbrella ya UAMSHO inajenga ufa kubwa ya UBAGUZI na DINI! Hakukuwepo na sababu yeyote ya kuchoma makanisa or else wangechoma na misikiti pia. This is religious fundamentalism and muungano question is just a disguise. The question is who behind or financing this? Je nchi yetu iko salama?

Ni kweli kabisa, yan hawa wenzetu wa Zenji, wanaubaguzi sana! Mi sijawai kusikia watu kutoka bar wanawabaugua wazenji. Na wao ndiyo wanataka kusababisha kutokuelewana kati ya wakristu na waislam. Mbona waislam wa bar hawajawai kuchoma kanisa? Hii inaonesha elimu ndogo ya wazenji, na unapoungana na mtu mwenye elimu ndogo mara nyingi huwezi kufaidika kutoka kwake, cha zaidi unachoweka kupata ni ugomvi na hasara. Tuwakatae watu kama hawa wasio wastaarabu na wasiloelimka. Hakuna faida tunayopata kuungana na hawa watu wenye fitna, chuki na ubaguzi wa kidini, elimu na ukabila. Tuwaache wabaguane na wachinjane weneywe. Kila mara tunasikia wakristu na mabara wanafanyiwa fuja na kuteketwezwa mali zao, hawa watu ni wahuni! Mi nataka niwakumbushe maneno ya mwalimu ' dhambi ya ubaguzi haiishi, ni kama kula nyama ya binadamu, ukianza kula nyama ya binadamu utaendelea kula tu, sasa wao wanawabagua wakristu na wabara leo tukiwa kwenye muungano, nje ya muungano hakuna wabara wala wazanzibar, kutakua na wazanzibara na wapemba! Ole wenu!!!
 
Haya madai ya kuvunja muungano ni ajenda ya siri ya udini, ndiyo maana yanayolengwa ni makanisa na wakristo.
 
Nani asiyejua Wazenje ni hamnazo , walalamishi kama nini , mtu mvivu hakosi kulalama, Watalalamikia wakoloni kwa ubaguzi wa elimu , sasa ni miaka 50 mashule wamejenga lakini angalia matokeo , lakini wajanja wanapeleka watoto wao misheni ambapo kuna nidhamu , SASA wanalalamikia wabara siku tutavurugana na kusambaratishana ndio wataiona freshi



Mkuu umezungumza lakini nafikiri umezungumza kishabiki zaidi kuna watu wenye elimu kubwa kubwa ambao walielimika bila kusoma shule za misheni kwa uchache wao ni Ali Muhsin al-Barwani - Wikipedia, kamusi elezo huru
na Prof Haroub Othaman.

Kwa population yao waliosoma kistastics ni wengi kuliko sisi.
 
Siku hizi haya magazeti nayaona kama porojo za wakina Mnyisazu, Matola na Molemo wa JF! Unategemea nini kutoka kwao! Wamejawa na ushabiki wa kidini badala ya 'professionalism' !
Mkuu kwanza nashukuru sana kwa kunipaisha maana sikujuwa kwamba nimeshakuwa A BIG THREAT kwa CCM hapa JF, inaonekana sasakinaeleweka.

Najuwa hapa JF watu wanauwezo wa kufuatilia links za Members wote halafu wachuje pumba na mchele ni zipi, niliwahi kusema huko nyuma Kuipigia kura au kuishabikia CCM ni ishara wewe ni mfu ingali upo hai, na hili limejiidhirisha kwa William Malecela.

Huyu ndugu yetu William Malecela wakati huo akiwa mbeba box @NYC yeye na pacha wake Field Malshall walikuwa ni watu wenye hoja zenye nguvu na walikuwa na uwezo wa kufanya Critical Arguments, but/lakini tangu aanze kuongoza na hawa kina Nape Nnauye naye ameadopt ujinga, sasa hivi hapa JF ni kama Comedian fulani tu na hakuna tena Member makini anamchukulia kama mtu serious, inshort ni wa kupuuzwa.

Sasa wewe kama unaweweseka na mimi, usidhani na haitotokea mimi kuwa mtu wa porojo, Magazeti haya haya unayoyaona wewe yana porojo ndiyo yalikutaarifu JK kuhongwa suti 5!...sasa hizi ndio porojo?
[h=6][/h]
 
Mimi sijasema VVU. Kwani kila virus ni VVU?


Wala usijitetee sababu hata ungetaja VVU nisawa na ungewasaidia wengine wengi wasiojua haya maambukizi ya kasi yanatokana sio na ngono tu. Usijione umekosea wewe uko sahihi anayekushangaa ndo anahitaji elimu zaidi
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa. KImsingi Ubara si UKRISTO! MImi sikuona mantiki ya kudai muungano uvunjwe kwa kkuvunja kanisa na kuchoma gari la askofu! Hakuna uhusiano kabisa, unless hao jamaa wanataka kutuaminisha kuwa bara wapo wakristo wakati inafahamika kuwa wapo wapagani, wahindu, waislamu na wakristo pia. Unless wanataka kutuaminisha kuwa zanzibar imelazimishwa kuingia ukristo! Hao jamaa wa UAMSHO nadhani wanaamsha mambo mabaya ambayo hatima yake si nzuri kwa uhai wa taifa letu (liwe la Tanzania, tanganyika au zanzibar au Pemba)! Sasa namna hii endapo wazenji wote walioko Kariakoo watafanyiwa hivyo tutakaa kweli? Nirudi kwenye picha za magazeti ya leo. Endapo ni kweli hizi picha za matukio ya zamani, ni vibaya kuendeleza hizi stereotype kuhusu ukosaji wa kuvumilia miongoni mwa dini mbali mbali. Wahariri endapo wanachukua picha za zamani na ku-link na matukio ya jana wanatupeleka pabaya nao. Imesemwa siku nyingi, madhara ya kalamu (wino na karatasi) ni makubwa na mabaya kuliko risasi (;3948728]Mi sielewi..ishu ya wazanzibari ni serikali yao au ni wakristo?? kwanini wasiende ikulu yao wakaandamane huko..wakristo sio wanaowanyima uhuru wa nchi yao[/QUOTE]
 
haya magazeti sasa!!
huu ni ujinga na uchochezi serikali ichukue hatua kali kwa watu kama hawa,
wanaweza sababisha chuki kubwa sana chanzo ni wao!
 
Tanzania Daima huwa naliweka kundi moja na magazeti pendwa ya udaku Uwazi, Kiu.
 
Nawashauri hao wanaojuwa kulaan waanze kulaani upumbavu huu kwanza halafu ndio nitaelewa kweli wanasimama kwenye misingi ya haki.

Yaliyojiri Zanzibar

Maelfu wa wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakifanya matembezi ya amani katika barabara za Zanzibar na kupeleka ujumbe wao kwa viongozi wa serikali za Zanzibar na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Umoja wa Mataifa wakitaka Zanzibar huru ambapo baadhi ya watembeaji hao wakiongoza na Kiongozi wa Jumuiya hizo, Sheikh Farid Hadi Ahmed na viongozi wengine
6263284_orig.jpg


Jamaa walikuwa na sponsor? Naona tigo wameamua..?Hah aha.
 
Watanzania hawa waandishi makanjanja ndio watakuja kusababisha Watanzania wachinjane, tujifunze kwa wenzentu Kenya na Rwanda walichofanya waandishi wa habari...sijui hawa waandishi wanataka watanzania tupigane wenyewe kwa wenyewe sijui watapata faida gani.
 
wewe nawe akili kama william malecela......unajua umeandika nini bongolala wewe? yaani wabongo bana???

kama mwandishi basi wewe hamnazo kabisa.....hiyo picha sio ya tukio lile bwegge wewe.....na mhariri wako bwegge vile vile....fanyeni utafiti mabwegge nyie......watu mtaani sasa hivi wajua hiyo picha ni ya vurugu za zanzibar wakati sio mabwegge nyie......

Mkuu Yo Yo hizi lugha pole pole bwana!!!!!
 
Back
Top Bottom