Yuko sahihi,izo scenario huoni mara nyingi akitumia simu za wananchi zinakuwa hazina mtandao(Mpaka siku moja alikuwa anampigia katibu mkuu wizara ya maji,simu za wengine wote akasema hazina mtandao ikabidi jamaa wa suti ndo wampe simu yao).we jamaa liongo kweli, nimekufatilia unavompiga kama mwenzio!
kama mtambo unazima network zotez mbona kuna scenario kadhaa Raisi anawapigia simu mawaziri ama anamuamrisha waziri wa Maji amipigie simu Katibu mkuu wa wizara na maongezi yanawekwa loud speaker!!!
wewe ni pompoma.. Kiazi!!!
Kwa mikono yangu MIWILI myeupe! Nanyanyua juu... Nasema wazi kabisa kuna post hazifai kuchangia
Upige risasi nyingi on same direction walinzi watakuwa wanapiga nyeto au?haiwezi zuia risasi kama zikiwa nyingi,hata ya trump haiwezi, hakuna gari yenye uwezo wa kuzuia risasi nyingi on the same direction ,pili kuna bunduki niliiona youtube risasi yake ikishafika sehemu inakua bomu inalipuka
We nae sijui akili yako ikoje? Kwa wkt huo sim zinazofanya kazi ni za hao wavaa suti au sim ambayo itakuwa connected na huo mfumo, na kwa kawaida hilo Gari likifika kuna km sanduku cha silver kinawashwa network inakuwa disabled kwa namna fulani, sasa ww povu linakutokaAcha upompoma basi.
mara ngapi tumeshuhudia raisi akiongea na simu, ama akimuarisha waziri Fulani ampigie simu katibu mkuu wa wizara maongezi yanasikika kwenye speaker. Hizo simu zinazozimwa ni zipi???
Kwa ajili ya kupigia simu CRDB au sometimes pia inamwaga mtifuano ila inatuma salamu kulingana na skils index apostrol machimboni kuleta maji ya moto na baridi ili kutogandisha mafuta kwny mifupa.
watu wanakuza sana mambo, Alipokuja Obama nikiwa Airtel morroco HQ, msafara wake ukitoka ubalozi wa U. S...... Ile mwai kibaki road then to mwenge on the way to mitambo ya umeme ubungo kule. Tumejazana juu kule staffs na ni sehemu rahisi akikaa mdunguaji, lakini akuwaako mtu yyte wa usalama. Technology imeendelea sana, Field agents are nothing compare to the analysis agentsBoss me huwa sifatilii izo dhiara za mkulu.... lakini mimi ni moja ya watu walio simama kwenye lile gorofa jeupe pale... na nafanya kazi pale... sijaona ulinzi wowote maeneo yale....
Yeah upo sahihiwatu wanakuza sana mambo, Alipokuja Obama nikiwa Airtel morroco HQ, msafara wake ukitoka ubalozi wa U. S...... Ile mwai kibaki road then to mwenge on the way to mitambo ya umeme ubungo kule. Tumejazana juu kule staffs na ni sehemu rahisi akikaa mdunguaji, lakini akuwaako mtu yyte wa usalama. Technology imeendelea sana, Field agents are nothing compare to the analysis agents
Ulinzi wa kawaida tu au hizo mbavu zinawatisha za hao walinzi.Mtu akikaa na sniper rifle kwenye lile gorofa refu.. ana tungua kichwa cha mkulu vizuri tu
Mkuu wabongo tulivyomasnitch,wote mmejazana juu afu mtu mmoja utoe rifle uanze kuangalia kwenye darubini kupima shabaha,ubonyeze trigger wanakuangalia tu,au ndiyo ule msemo wa wanaume wa Dar.watu wanakuza sana mambo, Alipokuja Obama nikiwa Airtel morroco HQ, msafara wake ukitoka ubalozi wa U. S...... Ile mwai kibaki road then to mwenge on the way to mitambo ya umeme ubungo kule. Tumejazana juu kule staffs na ni sehemu rahisi akikaa mdunguaji, lakini akuwaako mtu yyte wa usalama. Technology imeendelea sana, Field agents are nothing compare to the analysis agents
Nimesimama.sehem nacheka peke yangu...inabid niangalia watu wasinione..jamaa umeweza kunifurahisha jaman..nimeisoma mara 4 sion connection[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo ni bei ya koti tupu ndugu,na ji kwa Tanzania pekee.Asante kwa taarifa linakuwa na vifaa vyote vya ulinzi.?
Watakuwa wanaharakati hao..Siku za karibuni mbona ulinzi wa Mukulu mmeuongelea sana kuna nini?
Kwa ajili ya network tu.. kukata mawasiliano na bomb detector..!!Ule mgari wenye ma.antena una kazi gani?
Hiyo inaitwa Network Jammer System (NJS).Em nipe jina la huo mtambo nijifunze kidogo, hizo taarifa zinatoka kwanan? Wakat kunakua hamna network eneo hilo?
Kweli kabisa mfano sniper akijificha kwenye hayo magorofa ya uyole watamuonaje au waliyakaguaUnabisha nini mkuu? Uo ulinzi ni wa kufanya wananchi wasimsogelee mkulu.... lkn sio kwa kuzuia mtu aliepanga kumdhuru mkulu
Na zile landcruza v8 mbili zenye mifuko au mabegi yaliyofungwa kitambaa cha khaki ya kijani yana niniHiyo inaitwa Network Jammer System (NJS).
Kama ni mabegi basi yatakua yamebeba vitafunwa vya safarini.Na zile landcruza v8 mbili zenye mifuko au mabegi yaliyofungwa kitambaa cha khaki ya kijani yana nini