Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Mwenyewe unajiona eti umetoa hoja eeeh!! Nilikua upande wako sana wanapokushambulia humu ila leo ndio nimeujua upuuzi wako,Mimi nabisha kwa hoja sasa wewe bisha kwa hoja pia, Miwani myeusi ya kawaida kazi yake ni kulinda macho dhidi ya UV light au Mwanga wa Jua, sasa kama wewe unataka kupinga njoo na sababu yako na siyo kuandika tu bila ya kiambatanisho!
Kwanini.?!Bora ukutane na jambazi lkn sio hawa jamaa wanaopga miwani mieusi..
Zipi hizo?..
Naona Kuna Mageuzi ndani ya Polisi. Accessories zimeongezwa.
Wanajeruhi vbaya mnoKwanini.?!
Hivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Kama unaona CCM dill hamia hata xx sio kufananisha glass level Chadema na Hgh level CCMHivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Pajani! Kifuani! Mgongoni!! Na hata aina ya mashine zilizoshikwa.Zipi hizo?..
Fungua Fanta UnyweTafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Nnchofahamu izo miwan n kuzuia mwanga machon, nyngne zpo na uwezo wa ku-scan,kupga pcha na kurekod matukio!Hakuna sababu wala faida nyingine yoyote zaidi ya hiyo kama ni miwani mwyeusi ya kawaida, na kama una picha ambayo wamevaa miwani mwyeusi ndani au usiku unaweza kuiweka hapa!
Ata zle miwani ziliingia TZ zna card reader unaplay audio ukiwa umevaa hukuzion au kusikia?Mimi nabisha kwa hoja sasa wewe bisha kwa hoja pia, Miwani myeusi ya kawaida kazi yake ni kulinda macho dhidi ya UV light au Mwanga wa Jua, sasa kama wewe unataka kupinga njoo na sababu yako na siyo kuandika tu bila ya kiambatanisho!
Ile sio miwani ya kununua kwenye kapu kama ya walinzi uchwara wa chademahivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi