Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Inasikitisha!
Mbegu ya udini kilichoipanda chama tawala CCM kutokana na kukosa hoja kama alivyo taadharisha baba wa Taifa Mwalimu Nyerere imeanza kuzaa matunda tusipochuakua hatua nchi yetu inaelekea pabaya.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Inatosha radio imaan inatupeleka pabaya
Haya ya CDM yametokea wapi mkuu??Polisi wanapenda sana ugomvi wa dini utokee kuliko kupenda kuona CDM ikichukua dola! Utadhani hawana dini!?
Hebu kila mmoja atafakari kwa kipekee uharibifu huu alioufanya amepata faida gani.
Ni MUNGU yupi wanayemwabudu anayehitaji mahangaiko kwa watu wengine katika kumwabudu.
Ni MUNGU yupi mnayemwabudu aliyewaambia kulipa kisasi ndo njia sahihi ya kumwabudu?
Ni MUNGU yupi aliyewapa mamlaka ya kuhukumu kwa niaba yake?
Ni MUNGU yupi mnayemwamini na kumwabudu kuwa nyie mu wasafi hata kuhukumu wengine na nyie hamfanyi makosa?
Ni VITABU gani na mafundisho ya nani aliyewaambia kuharibu madhabahu ya wengine wanaomwomba MUNGU huyo huyo mnayemwabudu nyie kwa imani yenu mtabaki salama na imani yenu?
Maswali yanaweza kuwa mengi sana lakini wajitafakari kila mmoja alipo kwa upekee wake na amwombe MUNGU ili apate msamaha. Na huyo aliyehamasisha hayo yakatokea hakika hakika hayuko salama.
TUMWOMBEE WOTE KWA UJUMLA WETU MUNGU APATE KUMSAMEHE.
Hizi picha ndo nilikuwa nataka kuziona I lvoe JF
ITV wamekuwa wanafiki taarifa ya mbagala walionesha sa mbili jana nikasubilia taarifa ya sa 5 hawakuonesha kitu
leo nikaamika asubuhi kuangalia ITV hakuna kitu kilichotangazwa yaani unaweza fikiri hakuna kilichotokea
Nahisi usalama did something kwa ITV na vyombo vingine
It has got nothing to do with Chama tawala!
Haya ya CDM yametokea wapi mkuu??